Pamoja na kuwa aliipata pikipiki yake iliyopotea kwa Lulu, bado Cheche
ameendelea kukwepa maswali ya kufedhehesha ya mkewe na familia ya jinsi
alivyoipoteza pikipiki yake -- na kwa kuzaliwa mtoto Tea, hali ya
taharuki inatanda kati ya Cheche na Cheusi, hasa pale mama Cheche
anapowasili bila taarifa na kuzuka mikwaruzano midogo midogo kati ya
mama hawa wawili. Mwanaidi naye anamtupia jicho Cheche kwenye arobaini.
Je ana wasiwasi kuwa kuna jambo mkwewe anataka kufanya?
Stephen, mdogo wake Duma, naye pia anajiingiza matatani katika mahusiano na msichana mmoja kwenye maskani. Msichana 'anagawa' zaidi ya machungwa....
-------------
Even though he got back his missing motorbike from Lulu's place, Cheche continues to dodge awkward questions from his wife and family about how he "lost" his motorbike -- and with the newborn baby Tea, it's tense between Cheche and Cheusi, especially when Mama Cheche turns up announced and petty rivalries develop between the two mothers. Mwanaidi also has her eye on Cheche at the arobaini. Does she suspect he's up to something?
Duma's teenage brother, Stephen, is also getting into hot soup with one of the girls from the msakani. She's offering more than oranges...

إرسال تعليق