TENGA NI MMOJA WA WAJUMBE YA KAMATI YA USULUHISHI WA MIGOGORO YA WANACHAMA WA FIFA INAYOKUJA TANZANIA KUTATUA MGOGORO WA SERIKALI NA TFF. JE UNA MTAZAMO GANI KUHUSIANA NA HILI?

Wakati Tanzania ikiwa kwenye hatari ya kufungiwa na shirikisho la soka duniani kwa mujibu wa TFF kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya serikali na shirikisho la soka nchini. Imefahamika kwamba Raisi wa shirikisho la soka nchini Leogdar Tenga ni mmoja wa kamati ya vyama vya soka duniani inayoshughulikia misuguano/migogoro inayohusisha wanachama wa FIFA.
Hivi karibuni kupitia TFF, ilitolewa taarifa kwamba FIFA ingetuma wajumbe wake kutoka kwenye kamati ya kushughulikia migogoro ya wanachama kuja kusuluhisha au kutatua mgogoro unaoendelea hivi sasa kwenye soka la nchi hii.
 SWALI TATA
Leogdar Tenga kama mmoja wa mjumbe wa kamati ya vyama ya kushughulikia migogoro ya wanachama wa FIFA, ataweza kuvaa kofia mbili ya uraisi wa TFF na uanachama wa kamati ya usuluhishi na kuweza kutenda haki kwa pande mbili zinazokinzana kwenye mgogoro huu?


Chairman
Senes ERZIK Turkey Turkey
Deputy Chairman
Mohamed RAOURAOUA Algeria Algeria
MemberS
Rafael CALLEJAS Honduras Honduras
Costakis KOUTSOKOUMNIS Cyprus Cyprus
Peter GILLIERON Switzerland Switzerland
Leodegar TENGA Tanzania Tanzania
Michael VAN PRAAG Netherlands Netherlands
Carlos Alberto CHÁVEZ Bolivia Bolivia
Justino COMPEAN Mexico Mexico
Hamidou DJIBRILLA Niger Niger
Ugen Tsechup DORJI Bhutan Bhutan
Hachem HAYDAR Lebanon Lebanon
Sergio JADUE Chile Chile
Francisco LAY Timor-Leste Timor-Leste
Adam MTHETHWA Swaziland Swaziland
Walter NYAMILANDU Malawi Malawi
Toetu PETANA Samoa Samoa
Anton SEALEY Bahamas Bahamas
Kuniya DAINI Japan Japan
Giancarlo ABETE Italy Italy
Kwesi NYANTAKYI Ghana Ghana
Nikolai TOLSTYKH Russia Russia

Post a Comment

Previous Post Next Post