| Wakati Tanzania ikiwa kwenye hatari ya kufungiwa na shirikisho la soka duniani kwa mujibu wa TFF kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya serikali na shirikisho la soka nchini. Imefahamika kwamba Raisi wa shirikisho la soka nchini Leogdar Tenga ni mmoja wa kamati ya vyama vya soka duniani inayoshughulikia misuguano/migogoro inayohusisha wanachama wa FIFA. |
|---|
| Hivi karibuni kupitia TFF, ilitolewa taarifa kwamba FIFA ingetuma wajumbe wake kutoka kwenye kamati ya kushughulikia migogoro ya wanachama kuja kusuluhisha au kutatua mgogoro unaoendelea hivi sasa kwenye soka la nchi hii. SWALI TATA Leogdar Tenga kama mmoja wa mjumbe wa kamati ya vyama ya kushughulikia migogoro ya wanachama wa FIFA, ataweza kuvaa kofia mbili ya uraisi wa TFF na uanachama wa kamati ya usuluhishi na kuweza kutenda haki kwa pande mbili zinazokinzana kwenye mgogoro huu? |
|---|
| Chairman | ||
|---|---|---|
| Senes ERZIK | ||
| Deputy Chairman | ||
|---|---|---|
| Mohamed RAOURAOUA | ||
| MemberS | ||
|---|---|---|
| Rafael CALLEJAS | ||
| Costakis KOUTSOKOUMNIS | ||
| Peter GILLIERON | ||
| Leodegar TENGA | ||
| Michael VAN PRAAG | ||
| Carlos Alberto CHÁVEZ | ||
| Justino COMPEAN | ||
| Hamidou DJIBRILLA | ||
| Ugen Tsechup DORJI | ||
| Hachem HAYDAR | ||
| Sergio JADUE | ||
| Francisco LAY | ||
| Adam MTHETHWA | ||
| Walter NYAMILANDU | ||
| Toetu PETANA | ||
| Anton SEALEY | ||
| Kuniya DAINI | ||
| Giancarlo ABETE | ||
| Kwesi NYANTAKYI | ||
| Nikolai TOLSTYKH | ||
إرسال تعليق