MrJazsohanisharma

UFAHAMU KWANINI ACHEBE NI MWANDISHI BORA ZAIDI BARANI AFRICA

achebe
Chinua Achebe hajafa kwenye kalamu za waandishi. Makala zake zinatabiriwa kuwa na maisha marefu kuliko umri wake. Siku chache baada ya kifo chake waandishi wengi wameandika kuhusu Chinua Achebe wakizungumzia umahiri wake kwenye uandishi kwa kumuita ‘The wordsmith’
Achebe ametajwa kama mwandishi maarufu kuzidi wote Africa, most read African writer, Africa’s greatest writer. Sifa yake kubwa ikiwa ni kufanikiwa kueneza weledi wa uafrika ulimwenguni kupitia vitabu vyake.
Fikra za uandishi wa Achebe zimeutingisha ulimwengu wa fasihi hususani nchi za magharibi alikoigundua career yake ya kuandika makala.
Gonga continue reading kusoma zaidi..

Sifaa yake ilikwea matawi ya juu zaidi hasa wakati alimposhtumu mwandishi mkongwe wa kizungu aitwae Joseph Conrad kuwa ni mbaguzi kutokana makala anazoandika akisifia rangi nyeupe.
Hajawahi kuwa mwandishi wa propaganda, makala zake zimekemea uaribifu wa maadili ya waafrika yalivyoharibiwa na wageni na nyakati zingine aliwachana waandishi wengine wa vitabu

Post a Comment

Previous Post Next Post