Chinua Achebe hajafa kwenye kalamu za waandishi. Makala zake
zinatabiriwa kuwa na maisha marefu kuliko umri wake. Siku chache baada
ya kifo chake waandishi wengi wameandika kuhusu Chinua Achebe
wakizungumzia umahiri wake kwenye uandishi kwa kumuita ‘The wordsmith’
Achebe ametajwa kama mwandishi maarufu kuzidi wote Africa, most read
African writer, Africa’s greatest writer. Sifa yake kubwa ikiwa ni
kufanikiwa kueneza weledi wa uafrika ulimwenguni kupitia vitabu vyake.
Fikra za uandishi wa Achebe zimeutingisha ulimwengu wa fasihi
hususani nchi za magharibi alikoigundua career yake ya kuandika makala.
Gonga continue reading kusoma zaidi..
Sifaa yake ilikwea matawi ya juu zaidi hasa wakati alimposhtumu mwandishi mkongwe wa kizungu aitwae Joseph Conrad kuwa ni mbaguzi kutokana makala anazoandika akisifia rangi nyeupe.
Gonga continue reading kusoma zaidi..
Sifaa yake ilikwea matawi ya juu zaidi hasa wakati alimposhtumu mwandishi mkongwe wa kizungu aitwae Joseph Conrad kuwa ni mbaguzi kutokana makala anazoandika akisifia rangi nyeupe.
Hajawahi kuwa mwandishi wa propaganda, makala zake zimekemea uaribifu
wa maadili ya waafrika yalivyoharibiwa na wageni na nyakati zingine
aliwachana waandishi wengine wa vitabu
إرسال تعليق