Ndoto zake zilianza kutimia mwanzoni mwa mwaka 2007 mwanashosti huyo
alipoweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kushinda MTV Base VJ
search.
Mengine yakaja yenyewe kama kuwa kwenye team ya Choice FM DJ, kuwa
balozi wa vijana UNAIDS na hata kufanya vizuri kwenye muziki na single
yake ya kwanza tu inayoitwa ‘Closer’.
This young lady is unstoppable especially when it comes to fashion!
Mwenyewe anakiri kuwa na pair zaidi ya 30 za viatu mfano hivi karibuni
alitupia na kutoklezea kinoma kwenye MTV SHUGA premier huko Nairobi.
Fahamu mengi zaidi kuhusu Vanessa Mdee kwa kugonga continue reading…
Mtindo wake wa nywele na mavazi yaliotengenzwa na mbunifu ambae hakuwekwa wazi vyote vilimwanika kwa mwonekano mpya usiofananishwa. Long, short, shaved, blond, curly and straight are all styles she’s had at one point or another.
Mdee alionekana kufahamu vizuri fashion rules kitu kinachoaminika kuweka status yake juu; Take a note, Rule number one, Fashion is all about risks. Try different things as often as you can. Nyakati zingine utapatia na mara chache utachukiza.
In your 20’s be wild and free with fashion, Jipendezeshe kwa vivazi vitakavyo upa thamani mwonekano wako. Kujiamini ni siri ya kwanza ya kufanikiwa kama Vanessa. Salute to you Miss Mdee for your super star style status and for inspiring others to go that extra mile!

إرسال تعليق