MrJazsohanisharma

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba Afika na Kujionea Jengo la Ghorofa ya 15 Liloanguka Jijini Dar es Salaam Nakusabasha Vifo Vya Watu 22 Mpaka Sasa

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi  CUF Profesa Ibrahim Lipumba akihojiwa na mwandishi wa habari wa TBC Grace Kingalame wakati alipotembelea eneo la tukio na kujionea hali halisi ya uokoaji.Picha na John Bukuku
---
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba alitumia fursa hiyo kuitaka Serikali kuwabana makandarasi wasio na sifa kwani wanahatarisha maisha ya watu.

“Huu ni uzembe, wahandisi wa jiji walikuwa wapi? Wasimamizi na washauri walikuwa wapi hadi jengo linafikia ghorofa 16?” Alihoji Profesa Lipumba.

Profesa Lipumba aliitaka Bodi ya Makandarasi (CRB) kufuta leseni ya kampuni hiyo, kwani imeonyesha kuwa haiwezi kusimamia ujenzi na hivyo kusababisha vifo.

Post a Comment

أحدث أقدم