
Msanii wa nchini Kenya Habida Moloney ametua nchini Africa Kusini ambako kurekodi baadhi ya nyimbo kwa ajili ya album yake mpya inayotaraji kutoka hivi karibuni.
Taarifa zinasema kuwa star huyo amepata dili ya kufanya kazi na
kampuni moja ya muziki nchini humo na huenda akawepo SA kwa kipindi
kirefu.
Habida ni miongoni mwa wasanii ghali nchini kenya. Sifa yake kubwa ni sauti nzuri na ulimbwende aliobarikiwa nao.
إرسال تعليق