| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika
Picha ya pamoja na Ujumbe wa Jumuiya ya Al-Rahma ukiongozwa na Mwakilishi wa
Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya Nchini Ras Al-Khaimah Bwana Kamal
Ahaya.
Ujumbe huo
upo Zanzibar kukagua Vijiji vyenye mazingira magumu ili kuvipatia msaada wa
kuviwezesha kuwa na huduma muhimu na za msingi katika kuendesha maisha yao ya
kila siku.
|
Post a Comment