watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa wananchi
SIKU chache baada ya kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam na wahusika kutiwa mbaroni na polisi, mwishoni mwa
wiki waandishi wetu wamekifumua kijiji cha ufuska.
Kijiji hicho kilichogunduliwa Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana na
wavulana walinaswa wakifanya vitendo vya ngono kwenye moja ya mabanda
ambayo yametengenezwa maalumu kwa shughuli hiyo.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Operesheni hiyo ilifanywa na waandishi wetu kwa kushirikiana na jeshi
la polisi Jumamosi iliyopita usiku ambapo ilifanikiwa kuwanasa baadhi
ya vijana akiwemo mwanamke mmoja aliyekutwa akifanya ngono na wanaume
wawili (walio pichani).
Hata hivyo, kundi la watu kama wanane wakiwa na nguo mikononi walitimua
mbio baada ya kuona polisi wamevamia chumba kimoja kilichotengenezwa
kwa uzio wa vipande vya magunia chakavu na makaratasi walichokuwa
wakikitumia kufanyia ngono.
Aidha,
wana usalama walifanikiwa kuwakamata watu watatu, wanaume wawili
pamoja na mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Semeni waliyekuwa
wakifanya naye mapenzi.
Baada ya kuwatia mbaroni watu hao na kuwafanyia upekuzi, walikutwa na kondomo na vipisi vya bangi.
Gesti bubu inayotumika
Maafande walipomhoji Semeni alisema vijana hao walimlipa shilingi 5,000
kila mmoja na mmiliki wa eneo hilo aliyemtaja kwa jina moja la Babu
walimlipa shilingi 2,000.
Mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, aliwapongeza polisi kwa kufanikiwa kuwakamata baadhi ya vijana hao.
na kuingizwa kwenye vibanda hivi kwa ajili ya kufanya
ufuska, tunashukuru kwa kuamua kukisambatisha,” alisema jamaa huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Asubui mpa saa 11 ni hoteli
إرسال تعليق