So much is
happening on Twitter these days. Wengi mnafahamu anachokiandika Lady Jaydee
siku za hivi karibuni na sasa kibao kimemuendea Linah na Ben Pol.
Lady Jaydee anadai wasanii wa THT wame..
Lady Jaydee anadai wasanii wa THT wame..
msaliti kwa kile anachodai walikatazwa kwenda
kuperform Nyumbani Lounge licha ya kuwalipa advance.
“Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia,” ametweet Jide.
Shutuma hizo zimepolekewa kwa hasira na Ben Pol aliyemjibu Jaydee:
“Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia,” ametweet Jide.
Shutuma hizo zimepolekewa kwa hasira na Ben Pol aliyemjibu Jaydee:
“Hiyo show
kulikuwa na wengine pia wakuperform je wali perform? kama nililipwa
nanikashindwa ku show up, mbona sidaiwi?? Tafakari.”
Aliongeza, “Ben Pol hana muda wa maneno na majungu. Ombi langu ni mmoja kwako. Put me out of your business. PERIOD.”
“Don’t talk
about things you don’t know about. DON’T.”
“Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. Nimekua vya kutosha #Trustme,” alimalizia Ben.
Unazungumziaje hiki kinachooendelea sasa na athari yake kwenye muziki wa Tanzania. Maoni yako tafadhali.
Post a Comment