Kim Kardashian ameamua "kulifotoa" tumbo lake la mimba na kulitupia mtandaoni ili watu walishuhudie.....
Uamuzi huo mgumu umekuja baada ya mtandao maarufu wa TMZ kumvaa
Kim kwa madai kuwa amekuwa akipotosha uma kwa kutoa picha
feki za mimba hiyo na kudai kuwa ni zake. ..
Post a Comment