BAADA YA KUMZUSHIA KUWA MIMBA YAKE YA KUFOJI KAAMUA KULIPIGA PICHA TUMBO LAKE ILI KUWAKATA NGEBE ZAO


Kim Kardashian ameamua "kulifotoa" tumbo lake la mimba na kulitupia mtandaoni ili watu walishuhudie.....

Uamuzi huo mgumu umekuja baada ya mtandao maarufu wa TMZ kumvaa Kim kwa madai kuwa amekuwa akipotosha uma kwa kutoa picha feki za mimba hiyo na kudai kuwa ni zake. ..

Post a Comment

أحدث أقدم