Mwimbaji
maarufu wa muziki wa Taarabu Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi.
Kidude amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu, tangu mwaka
jana. Taarifa hii imepatikana hivi karibuni kutoka katika vyombo
mbalimbali vya habari, ambavyo baadhi yake vimedai kuthibitisha kifo cha
gwiji huyo wa muziki, ambaye ni maarufu ndani na nje ya Tanzania.
Ifuatayo ni message kutoka Sauti Za Busara Facebook page, ikithibitisha kifo hicho:
“It’s with very heavy hearts that we confirm the news that Fatuma
binti Baraka aka Bi Kidude has died in Zanzibar (19??-2013). We will
always remember her and be grateful to her for her voice, her spirit,
and her immortal contributions to Zanzibari music and culture. Rest in
Peace, Bibi! We love you. (photo by Peter Bennett during Bi Kidude’s
last public performance at Sauti za Busara in February 2013) — at Sauti
za Busara 2013.”
Tweets za watu mbalimbali mashughuli Tanzania:
Post a Comment