Bibi
wa Uingereza anayekabiliwa na hukumu ya kifo huko Bali amefanya
mahojiano yake ya kwanza wakati akisubiria kifo – kwa ujasiri akiweka
wazi yuko tayari kufa kwa kupigwa risasi.
Akizungumza kutoka kwenye selo yake ndani ya gereza mashuhuri la
Kerobokan, Lindsay Sandiford alieleza: “Pengine ningependa hukumu ya
kifo kuliko kifungo cha maisha. Sitaki kuzeeka na kuchakaa humu ndani …
angalau risasi ni haraka. “Ombi hilo lisilo la kawaida la bibi huyo
mwenye..read more
Source: Ziro99
Post a Comment