Bibi muuza ‘unga’ anayesubiri adhabu ya kifo anaomba auawe kwa risasi

 
Bibi wa Uingereza anayekabiliwa na hukumu ya kifo huko Bali amefanya mahojiano yake ya kwanza wakati akisubiria kifo – kwa ujasiri akiweka wazi yuko tayari kufa kwa kupigwa risasi.

Akizungumza kutoka kwenye selo yake ndani ya gereza mashuhuri la Kerobokan, Lindsay Sandiford alieleza: “Pengine ningependa hukumu ya kifo kuliko kifungo cha maisha. Sitaki kuzeeka na kuchakaa humu ndani … angalau risasi ni haraka. “Ombi hilo lisilo la kawaida la bibi huyo mwenye..read more
Source: Ziro99

Post a Comment

أحدث أقدم