Clip
iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog
yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale
alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia
simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama
na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.
maongezi yako hivi
Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...
Diamond:
sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja
kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa
mji mzima na nini na nini sitaki.
Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny:
niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo
na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life
Wema: he told you am the one who is troubling him
Penny:
yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always
trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i
mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont
know, for some reasons i expected you to respect that, because all you
have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do,
they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you
sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even
happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani
dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza,
tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio
nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia
nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni
sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana
sana
Wema:
Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in nimeambia
halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate kiki,
kwasababu wanaona kama hawana kiki then thats something else unajua eeh,
kiki watafute sehem nyingine sio kwa wema sepetu, sawa mi ninajijuwa
me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star kama mimi
sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa kutokana
mimi kama star because they are looking for names, thats fucked up
owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na nnajiheshimu sana na mimi
mwenye...........
sitaki
kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi nimeskia
tu kupitia bbm sijui nimekaa tu kimya, am just quite na sijafanya kitu
chochote am just quite, and am just going to stay quite, na
usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa
wa kazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki kila
mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where iam......
Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe
ile
clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita
aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah,
mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri
nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa,
nilimrikodi mwanzi mwisho......
Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond:
mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye
ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu
jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke
wangu nkamwambia ongea nae.....
Source: Djfetty Blog
إرسال تعليق