Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,
katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,( kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
إرسال تعليق