Ni
Ripoti ya utafiti iliyokuwa commissioned na ofisi ya Waziri Mkuu
kuchunguza matokeo mabaya ya Kidato cha Nne mwaka 2010 ambayo ilitoka
mwaka 2011.
- Ajabu ni kwamba ripoti hii haikufanyiwa kazi na mwaka
huu Ofisi hiyohiyo ya Waziri Mkuu imeunda kamati nyingine kuchunguza
tatizo hilohilo!
Sijui tunaelekea wapi?
Watanzania, bila kujali tofauti zetu kisiasa tusikubali mambo kama haya.
Ni kuchezea raslimali zetu na hatari kwa vizazi vyetu na mustakbali wa
Taifa letu.
Bofya hapa Kuisoma na kuidownload
Post a Comment