Kichen Pati yawa Kichen Pombe...Pombe yamzidi Mwanadada.....

Hii ilitokea kwenye kitcheni Pati Moja iliyofanyika Maeneo ya Mbezi ...Dada alifika hapo nakuanza kufakamia Pombe na Mwishowe zikamtenda kama unavyoona hapo...wadada wengine wakimchezea na kumpiga picha picha....Pombe noma..Aibu ....

Post a Comment

Previous Post Next Post