Kichen Pati yawa Kichen Pombe...Pombe yamzidi Mwanadada.....
Hisia0
Hii ilitokea kwenye kitcheni Pati Moja iliyofanyika Maeneo ya Mbezi
...Dada alifika hapo nakuanza kufakamia Pombe na Mwishowe zikamtenda
kama unavyoona hapo...wadada wengine wakimchezea na kumpiga picha
picha....Pombe noma..Aibu ....
إرسال تعليق