HIVI NDIVYO SKYLIGHT BAND ILIVYOWABAMBA MASHABIKI WA MWANZA @ JB BELMONT HOTEL,

Mary Lukas akitoa burudani wakati wa show ya kukata na shoka iliyofanyika JB Belmont Hotel.
Mdau Mukhsin Mambo wa Star TV akishow love na Ushers.

Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakifuatilia show ya Skylight Band.
Lango kuu la kuingia kwenye Ukumbu kulikuwa na Shots za Tequila, Vodka kwa mashabiki waliohudhuria Show ya Skylight Band ndani ya JB Belmont Hotel. Mdau Eddie akishow love na Ushers.

Kushoto Manager Rama wa Viila, Rayz wa Star TV Arusha, DJ Kartix wa Nairobi na Mdau Mukhsin Mambo wa Star TV wakishow love na Skylight Band ndani ya JB Belmount
Diva Aneth Kushaba AK47 akitumbuiza na wasanii wenzake wa Skylight Band  kwenye show iliyopewa hadhi kwa watu ambao ni VIP kushuhudia burudani ya band hiyo ndani ya JB Belmont Hotel.
Papa Justin Ndege akionyesha kukunwa na vijana wake.

Mashabiki wakichizika na burudani ya Skylight Band.

Mary Lukas, Sony Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akionyesha maujuzi yake  kucheza na warembo wa Mwanza.
Mary Lukas akiimba na kucheza na baadhi ya mashabiki wa Bendi ya Skylight jijini Mwanza.
She deserve to be called a Diva..... Aneth Kushaba AK 47 look stunning.
Joniko Flower akiongoza wasanii wenzake kutoa burudani.
Kimbia mbio.......Wera wera Chapa ilale....Dr. Sebastian Ndege, Eddie na mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi, Aneth Kushaba AK47 wakichangamsha jukwaa wakati ndani JB Belmont Hotel.

Post a Comment

أحدث أقدم