HIVI NDIVYO WALINZI WA CHADEMA WANAVYO MLINDA MWENYEKITI WAO MH. MBOWE

Walinzi wa Chadema wakiwa wameninginia kwenye gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wakielekea kwenye
mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Wajenzi, mjini Dodoma, Jumamosi iliyopita. Picha na Edwin Mjwahuzi

Post a Comment

أحدث أقدم