Siku hizi wanaume wengi wamekuwa na tabia mbaya za ushoga ..wengine
wanaonyesha live wengine wanajificha ficha ila kuna dalili unaweza kujua
kuwa ana tabia hizi ,,,Hizi ni Baadhi tu ukiona mvulana ana tabia hizi
basi anza kumchunguza vizuri inawezekana kabisa kuwa si ridhiki...
-------------------------
-------------------------
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......
NB:- Siyo mtu akiwa na sifa moja kati ya hizi ni shoga
credit:- udaku special
إرسال تعليق