
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha
Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea
na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na
kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika
kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa
hadhara katika mji mdogo wa Mahenge
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua
kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na
ujumbe wake
Katibu wa NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama anavyoonekana pichani
Ndugu Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa kuelekea Mahenge
Nape Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto Kilombero.
Haji
Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto Kilombero
.
Msafara ukiwa tayari kuelekea Ulanga na Mahenge j Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akitembelea karakana ya mafundi
Ushirika wa mafundi seremala wa Ulanga ambao wanatengeneza mizinga ya
nyuki.
Ndugu
Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Ulanga
mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajiji ya kupata taarifa za
chama
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo

إرسال تعليق