Majambazi yaua mhindi kwa risasi na kupora Shs. milioni 100, Dar

Majambazi yaua mhindi kwa risasi na kupora Shs. milioni 100, Dar

MAJAMBAZI yamempiga risasi mfanyabiashara wa kihindi na kumuua papo hapo na kumpora sh. mil 100 eneo la Sealender Bridge, Upanga Dar es Salaam jioni hii.
Kwa mujibu wa walioshuhudia sakata hilo, wanasema mtoto wa kike wa marehemu pia alipigwa risasi ya paja, lakini akafanikiwa kuendesha gari lao huku …read more
Source: richard-mwaikenda.blogspot.com

Post a Comment

أحدث أقدم