Mkulima wa kijiji cha Mgagara ameuwawa na kuchomwa moto. .


Kundi la wananchi wenye hasira katika kijiji cha Magara wilayani Babati mkoani Manyara wamemuua kwa kumkatakata mkulima wa kijiji Hicho kwa vitu vyenye ncha kali na kisha kumchoma kwa moto baada ya kumtuhumu awali kuhusika katika tukio la kumuua mkulima Mwenzake kutokana na mgogoro wa ardhi

Post a Comment

Previous Post Next Post