
Picha
juu na chini ni Mgeni rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya
manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akizungumza wananchi pamoja na
washiriki wakati wa bonanza la timu ya Stakishari Veterans FC kutimiza
miaka 5 ambapo amesema mpira wa soka unawakutanisha watu na kuwasidia
kujenga mahusiano pamoja na kujenga afya za miili yao.


Picha
juu na chini Mgeni rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa
ya Ilala Mh. Jerry Silaa akikabidhi jezi na mipira kwa baadhi ya timu 17
zilizoshiriki katika bonanza hilo.



Diwani
wa Kata ya Kipawa Mheshimiwa Bonna Kaluwa akigawa jezi na mipira kwa
timu zilizoshiriki Bonanza la Stakishari Veterans kutimiza miaka 5.

Mgeni
rasmi Mh. Mstahiki meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry
Silaa akijiandaa kupiga penati kuashiria ufunguzi wa Bonanza hilo
lililofanyika katika viwanja vya Stakishari kata ya Gongo la Mboto
jijini Dar.

Mstahiki
Meya Jerry Silaa akionyesha ufundi na kufunga goli wakati akipiga
penati ya kuzindua rasmi bonanza la Stakishari Veterans FC kutimiza
miaka 5.

Mstahiki Meya Jerry Silaa akipongezwa na Golikipa aliyemfunga goli kwa penati wakati akizundua Bonanza hilo.

Mgeni
rasmi Mstahiki Meya Katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa
timu ya Stakishari Veterans FC iliyofanya Bonanza la kutimiza miaka 5
Kipawa jijini Dar.

Bonanza
likirindima katika viwanja vyaStakishari Kipawa kata ya Gongo la Mboto
baada ya kupewa baraka na Mstahiki Meya Jerry Silaa.
Timu zilizoalikwa kushiriki Bonanza la Sitakishari VSC
New Ukonga Veteran – Ukonga
Pugu Kajiungeni Veteran – Pugu
Pugu Kigogo Fresh Veteran -Pugu
Segerea Veteran – Tabata
Kivule Veteran – Kivule
Kipunguni B Veteran – Kipunguni
Kinyerezi Veteran – kinyerezi
Tabata Veteran – Tabata
Bandari Veteran – Kurasini
Mbagala Veteran – Mbagala
Makangarawe Veteran – Mbagala
Airport Veteran – Airport
Kisukulu Veteran – Kisukulu Tabata
Kigamboni Veteran – Kigamboni
Vingunguti veteran – Vingunguti
Wenyeji Sitakishari veteran
Habari Na:-
إرسال تعليق