Taarifa
zilizotufiki muda huu ni kwamba shule ya Sekondari ya Wazo Hill ya
jijini Dar es Salaam inaendelea kuteketa kwa moto huku juhudi za kuuzima
moto huo zikiendelea kufanyika.
......Wanahari wa Blog hii wapo njiani kuelekea katika eneo latukio.
...Tutaendelea kuwaletea kile kilichojiri.
إرسال تعليق