
Wasanii Chipukizi wanaokuja vizuri ktk game ya Bongofleva SALMA na SIR.
DATTY walishtukia wakiingizwa Lupango ktk Kituo kidogo cha Polisi
Mabatini huko pande za K/Nyama juzi jioni baada ya msala wa kizushi huku
wakijiandaa kushoot video ya nyimbo yao mpya inayoitwa 'Ngoja Kidogo'
Inasemekana dancers
wadogo waliotaka kuwatumia kabla ya kuwanao walipotea nyumbani kwao kwa
muda wa siku kadhaa, hivyo walivyokuja kuibukia kwao msala ndio
ukawadondokea......... Kwa taarifa fupi zilizoifikia Makavu Blog Wasanii
hao tayari wameachiwa baada ya kulala siku moja ndani ya Lupango
إرسال تعليق