Picha:- Mrembo wa Kenya aliyeongoza kwa kuandikwa sana kwenye websites

10-399x600[1]

Kwa mujibu wa MillardAyo.com, utafiti uliofanywa kufahamu ni mrembo gani wa Kenya aliyeongoza kwa kuandikwa kwenye websites mbalimbali tangu music video ya P Unit – “You Guy” itoke, umeonyesha kwamba Vera Sidika AKA “Vee S Beiby” ambaye alikua mmoja wa video models katika video hiyo, ndiye aliyeandikwa sana, katika zaidi ya stori 120.
Kwa wale msiokumbuka au kufahamu, video hiyo ya “You Guy” by P Unit ilipigwa marufuku kuonyeshwa na Citizen TV kwa kuwa too sexy, kitu ambacho kilichangia kwa kiasi kikubwa umaarufu wa Vera kukua, sababu baadhi ya watu walidhani Vera’s “big booty” na tako lake lilivyonadiwa kwenye video hiyo ndicho kilichosababisha Citizen TV kuchukua hatua hiyo.
23[1]
92-400x600[1]
112-400x600[1]
72-800x575[1]
82-464x600[1]
220468hWLpG3fi[1]
5[1]

Post a Comment

أحدث أقدم