



Katika
hali ya kustaajabisha sana msanii anayemake headline katika muziki wa
Kidunia ajulikanaye kama Rihanna, ametinga katika party ijulikanayo kama
Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo alizaliwa,
katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku
akiwa uchi kama picha na video inayoonekana.....Tazama picha na video
mwenyewe ujionee dunia ilivyoisha
VIDEO HAPA:
إرسال تعليق