
Hii
hali sasa imekua tete, kama mnakumbuka wiki tatu zilizopita tuliwaletea
habari ya mwanga aliyekamatwa huko arusha akiwa anawanga kwenye nyumba
ya mtu akiwa uchi, sasa hivi hii imetokea huko shinyanga. Bibi huyu
alikamatwa baada ya kudondoka na ungo wake aliokuwa akisafiria, bado
haijajulikana alikuwa anaelekea wapi......Balaaaa!!!!
إرسال تعليق