Baada ya kuiwakilisha vyema Sierra Leone kwenye shindano la Big Brother
Africa Star game edition, Zainab O. Sherriff amekuwa mshiriki anaetajwa
kuliko wote na vyombo vya habari nchini humo.

Imeelezwa kwamba mrembo huyo ameshafanya pilot ya reality show yake inyotaraji kuanza hivi karibuni na huenda akatua mjini Nollywood wakati wowote kushoot movie yake mpya na Jim Iyke.

Hata hivyo uvumi umesambaa kuwa picha zilizo sambaa kwenye mtandao huenda ikawa ni matangazo ya kampuni ya the Indigenous Beads of Africa ya nchini Kenya ambayo inataka kufanya kazi na bidada huyo kwa donge nono.

CHANZO BAABKUBWA
إرسال تعليق