
Diddy
Polisi na Helikopta mbili za polisi walivamia Nyumba ya Diddy iliyopo
Los Angelos Marekani Usiku wakuakia Leo . Lakini habari zilizotoka
kwenye vyomba vya usalama viliimbia TMZ kuwa tukio hilo lilikuwa la
bahati mbaya
Habari zilizotoka polisi ziliwaambia TMZ kuwa Kuna Mtu alipiga simu polisi kuwa ndani nyumba ya Diddy kuna mtu anarusha risasi.
Baadae polisi na wakubwa wengine walipojua kuwa ni mchezo mwingine
unaofanyiwa wasani wakubwa marekani waliamukuondoka katika tuukio hilo.
TMZ wanasema kuwa waliambiwa kuwa Tukio hilo lilikuwa limepangiwa
kufanyiwa kwa muigizajiSteve Carell ambapo nyumba yake ilikuwa
imezungukwa na Polisi wengi kwasababu ilikuwa karibu na nyumba ya
Diddy.

Hapa ndio nje kwa Diddy
Inasemekana Diddy sio staa wa kwanza kufanyiwa tukio hilo, kuna baadhi
ya mastaa walishawahi kufanyiwa hivyo kama vile nyumbani kwa wazazi wa
Miley Cyrus mwaka jana Walifanyiwa kitendo hicho hicho.
Polisi wamesema kuwa matukio hayo yakutishia ya mekuwa ya kudumu na sugu
sasa wamesema watamshitaki kwa sheria kali kwa yeyote atakayefanya tena
tukio kama hilo.
Habari kwa hisani ya Different Sourc Blog kwa usaidizi wa mtandao wa tmz.
إرسال تعليق