RACHEL NDAUKA AANGUSHA PATI YA NGUVU COCO

Rachel akikata keki.
Akimlisha keki mama yake mdogo, Irene Mwamfupe Ndauka.
Sauda Mwilima akimlisha Rachel keki.…
Rachel akikata keki.
Akimlisha keki mama yake mdogo, Irene Mwamfupe Ndauka.
Sauda Mwilima akimlisha Rachel keki.
Hii ndiyo keki aliyotengenezewa.
Hii ni zawadi ya keki kutoka kwa mama yake mdogo.
Msanii wa muziki, Baby Jay (mwenye nguo nyeupe) akibadilishana mawazo na mwenzake.
Hawa ndiyo wageni waalikwa.

Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha Star, Rachel Ndauka jana aliangusha bonge la pati ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa ‘bethidei’ ambayo ilitawaliwa na shangwe za hapa na pale sambamba na vituko vya kila aina.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Hazina Lounge uliopo katika Ufukwe wa Coco jijini Dar ambapo Rachel alitimiza miaka 22 na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa muziki na filamu huku suala la burudani likishika kasi mwanzo mwisho.
Habari/picha: Na Gladness Mallya GPL

Post a Comment

Previous Post Next Post