HII IMEKAAJE WADAU WA MZIKI, MADEE - POMBE YANGU, KIPENGELE HIKI CHA WADADA HAWA KUNYONYANA NDIMI ZAO?


Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wa Madee ‘Sio Mimi’ hatimaye imetoka. Ni video kali lakini ina tatizo moja  la  usagaji...  

Ndani ya video hiyo kuna sehemu inayoonesha wasichana wakinyonyana ndimi na hivyo kuchochea masuala ya usagaji. Sehemu hiyo inaweza kuchangia video hii kupigwa vita.

madee 2
Picha za wasichana wakinyonyana ndimi kwenye video hiyoPicha za wasichana wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
 

Post a Comment

Previous Post Next Post