Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON) Bw. Rizanur Meral na ujumbe wake  leo April 19, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.(PICHA NA IKULU).