Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe
Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja
wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari
kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru
Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa
michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda
Burian wakipiga picha ya pamoja na wasichana waliowazawadia mashada ya
maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William
Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe
za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu
Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho
April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt
Batilda Burian wamesimama pembeni na wenyeji wao (picha zote na IKULU)
إرسال تعليق