Kama umesoma story zinazomhusu muigizaji Lulu kwenye blog mbalimbali
hivi karibuni, wengi wameandika kwamba Lulu yupo location na mzee
Hashimu Kambi wakifanya movie na kuongeza ushahidi wa picha juu. Habari
hiyo wengi wameitoa kwenye page ya instagram ya msanii Lulu baada ya
kuweka ile picha. Lakini ile picha ilikuwepo kwenye ya facebook ya Lulu
toka mwaka juzi. So ile location ni it’s not true kama ni kweli wapo
kwenye movie. Angalia picha ya hapo chini na huo mshale mwekundu
unaonyesha na tarehe ambayo Lulu alipost hiyo picha.
Tukampigia simu mzee Hasheem Kambi kuhusu hii picha na yeye alikuwa na haya ya kusema’“Hapana mimi sipo location na Lulu tunafanya movie kwa wakati huu, mara ya mwisho tumefanya movie ilikuwa mara ya mwisho kabla hajaingia kwenye matatizo ilikuwa ni movie yake ya Foolish Age. Labda ndiyo anaifanyia promotion, lakini hatupo location kwa sasa”
Hii ni picha ambayo Lulu alipost kwenye Instagram ambayo ndiyo hiyohiyo ipo kwenye facebook. So Lulu kama yupo location anafanya movie nyingine na hii siyo location ya hiyo movie kama anafanya sasa hivi as alivyoandika kwenye Instagram.

Post a Comment