Hii ni taarufa fupi toka TCRA
walipoongea na clouds Fm kuhusu watanzania ambao hawajasajili
line zao za simu......
Kama hujasajili line yako ya simu,
Adhabu yake ni kifungo cha miezi mitatu jela, au faini ya
Milioni 5 za kitanzania au vyote kwa pamoja
إرسال تعليق