Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi
akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa
NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao dhidi ya
mahasimu wao, TMK Wanaume Family.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa TMK Halisi, wakati wote vidole
juu...TATU BILA, hata walipopagawishwa na nyimbo kali za TMK Family.…
إرسال تعليق