Takriban watu kumi na saba waliuawa katika makabiliano yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati.
Hii ni kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu, Red Cross.
Hii ni kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu, Red Cross.
Mapigano yalizuka baada ya waasi wa zamani waliokuwa wanashika doria
katika Ikulu ya rais aliyeondolewa mamlakani Francois Bozize
kushambuliwa. Msemaji wa serikali mpya alisema kuwa …read more
Source: BBC SWAHILI
إرسال تعليق