Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akifafanua
Jambo wakati alipotembelea Mradimpunga wa Umwagiliaji kwenye Bonde la
Mpunga la Jendele kulia Mwenyekiti wa Tasaf Jendele Ali Mussa waziri
alifanya Ziara ya Wilaya ya Kati Unguja kukutembelea Mradi
Uliofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mratibu
wa wa Programu ya kuimarisha huduma za kilimo Bw Zaki Khamis
Juma akimueleza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia
Suluhu Hassan kuhusu wakulima wa kuzalisha Mbegu za Mpunga kwenye
Bonde la Kinyasini -kisongoni Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakati wa
Ziara ya kutembelea Miradi ya Tasaf na Assp inayofadhiliwa na serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipita
kwenye shamba la mpunga la kuzalishia Mbegu la kinyasini-kisongoni
Walaya ya Kaskazini A Unguja Waziri akiwa katika Ziara ya kutembelea
Miradi iliyofadhiliwa na ASSP. [Picha na Ali Meja ]
إرسال تعليق