
Kwa mda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali zinazohusu
radio ya watu claus.watu weng mmekuwa vinara wa kuiponda pamoja na
watangazaji wake.nilichogundua hakuna hoja ya maana mnayotoa juu ya
redio hii pendwa. Mimi nashauri tuache unafiki na kuwa watu wanaokubali
mafanikio ya wengne. Ktk kipindi cha miaka kumi mfululizo redio hii
pendwa imejizolea mashabiki ndani na nje ya nchi. Mafanikio yao
yametokana na kujua mahitaji ya wasikilizaji. Kwa kifupi ni wabunifu
sana katika vipindi vyao. Haishangazi hadi kupata hadh ya super brand
radio station. Na hii ndiyo sababu inayofanya iwe na mapato makubwa
kupitia mikataba ya matangazo kuliko hata east africa radio. Vipindi vya
kijanja kama xxl,leo tena,jahazi,bongo fleva vina mashabiki wengi
kuliko vya redio pinzani(ea radio) kama power jam,ea breakfast,planet
bongo.ina watangazaji wabunifu kama b12,adam mchomvu,fetty ambao
wamekuwa kipenzi cha vijana wengi ambao ndio wasikilizaji wakubwa. Pia
ni waandaaji wa tamasha kubwa la fiesta ambalo linahesabiwa kuwa tamasha
kubwa zaidi east africa.
MAONI YANGU.
Tumsifie anayefanya Vema na Si kumponda..Wengi wetu tunaoikosoa ndo wasikilizaj wazuri wa radio hii pendwa.sijatumwa na kibaraka yoyote haya ni mawazo yangu chanya najua mtaniponda kwa mawazo yenu mgando
VIVA CLOUDS FM...the pipoz station.
MAONI YANGU.
Tumsifie anayefanya Vema na Si kumponda..Wengi wetu tunaoikosoa ndo wasikilizaj wazuri wa radio hii pendwa.sijatumwa na kibaraka yoyote haya ni mawazo yangu chanya najua mtaniponda kwa mawazo yenu mgando
VIVA CLOUDS FM...the pipoz station.
إرسال تعليق