Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha
Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye
waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.
Akizungumza na mwandishi wetu, Aisha amefunguka kuwa..

alikuwa kimya kwa sababu kuna mambo alikuwa
akifanya.
Alisema kwa kuwa ameyakamilisha, sasa ana nafasi ya kusaka mtoto iwapo atampata mwanaume sahihi.
Aisha amevitaja vigezo vya mwanaume wa kumzalia kuwa amjengee nyumba ya kuishi yeye na mtoto wake kisha awe na uwezo wa kumlea na kumpatia elimu bora.

إرسال تعليق