Mkono huo: Gerard Pique (kulia) na Alex Song wakipigana ndani ya basi la Barcelona
NYOTA wa Barcelona, Gerard Pique na Alex
Song walizpiga kavu kavu wakati wa sherehe wa timu hiyo kushangilia
ubingwa wa La Liga kwenye basi.
Kiungo wa zamani wa Song na Pique walionekana kupigana wakati basi likikatiza mitaa ya Jiji hilo la Catalan.
Nahodha wa klabu, Carles Puyol na kipa Victor Valdes ndio waliokuwa mstari wa mbele kuwaamulia.

Victor Valdes (kushoto) na Alexis Sanchez (kuluia kabisa) wakiwatazama wawili hao wakizipiga


Ndondi



Wanafurahia? Wachezaji wengine wa Barcelona walikuwa wakiwaangalia tu Song na Pique wakipigana

Mbata: Song anaonekana akimpa mbata Pique



Wanaamuliwa: Carles Puyol (nyuma) akiamulia

Puyol na Valdes wakijadiliaa wakati wakiwaamulia

إرسال تعليق