Hivi Ndio Buyern Munich ilivyochukua Ubingwa wa UEFA 2013

Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia bao lao la pili na la ushindi lililofungwa na Arjen Roben dakika ya 89 ya mchezo..

Mario Mandzukic (9) wa Buyern Munich akiifungia timu yake bao la kuongoza dakika ya 60

Ilkay Gundogan wa Borussia Dortmund akiifungia timu yake bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 67 ya mchezo.

Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia na kombe lao.

Post a Comment

أحدث أقدم