AFISA uwendeshaji Tiba kutoka
Jumuiya ya Chara ya Marekani, Ali Mbarawa akimkabidhi daktari dhamana wa
hospitali ya Chake Chake Dk Yussuf Ali, mashine nne za gesi ya Oxygen,
ambazo zilikuwa ni kikwazao kikubwa kwa Hospitali hiyo. (Picha na Bakari
Mussa, Pemba/via ZanziNews blog.)
Wheelchairs 15 zilizotolewa na
Jumuiya ya Chara kwa watoto wenye ulemavu kisiwani Pemba, Makabidhiano
hayo yaliyofanyika katika hospitali ya Chake Chake, Pemba. (Picha na
Bakari Mussa, Pemba.)
إرسال تعليق