KIFUA NDIO KINAMSUMBUA M 2 THE P NA KICHWA AOMBA WATANZANIA WAMUOMBEE


Leo hii, Millard ameingia wodi aliyolazwa M2thep na kuongea nae, ambapo amesema anajiskia vizuri lakini kifua ndio kinamuuma na kichwa ila anadhani akiendelea kunywa dawa siku mbili tatu atakuwa katika hali nzuri.
kati mazungumzo hayo, M2theP pia alimuulizia Ngwea, ambapo walimjibu ameshatangulia Tanzania.

Post a Comment

أحدث أقدم